Upweke ni tatizo linalowatesa wengi, ni tatizo ambalo limekuwa kama ugonjwa fulani hivi kwa watu wanaokabiliwa na hili tatizo. Kuna upweke ...
Home
Archive for
2015
Umekosa cha kumshukuru Mungu?
Ukikosa cha kumshukuru Mungu katika maisha yako, jiulize kwanini anaendelea kukupa pumzi mpaka leo. Kisha piga hesabu umelipa nini au una ha...
Huyo Ni Mke Wako Na Si Wawazazi/Ndugu zako.
Habari za wikiendi rafiki yangu , matumaini yangu unaendelea vyema , na kama u mgonjwa nikupe pole. Vizuri pia ukaenda kuangalia ...
SABABU INAYOPELEKEA MWANAUME APOTEZE NGUVU YA KUWA KICHWA CHA FAMILIA HII HAPA.
Habari za leo rafiki, ni siku nyingine tena tumeiona. Vipi wewe unayo furaha ya kupata fursa ya kuiona leo au unaifikiria jana ya maumivu/m...
Unamwona Mke/Mume Wako Wa Ndoa Hakufai Tena? Jibu Lako Lipo Hapa.
Habari za siku mpenzi msomaji wa makala za MTAZAMO WA MAISHA . Matumaini yangu unaendelea vyema, na kama haupo vizuri kiafya nikupe pole s...
Ukuuaji Wa Biashara Yako Unategemea Ufuatiliaji Na Mahusiano Ya Karibu Sana Na Timu Yako Ya Mauzo.
Karibu sana tubadili mitizamo yetu hasi kwenye fahamu zetu kwa kuingiza mitizamo chanya kwa kujifunza namna ya kukuza maeneo yako ya mauzo k...
Madhara Ya Kucheka Ovyo Na Jinsi Ya Kuepuka Kucheka Ovyo.
Kuamka ni hiari , kufanya ni hiari , kuchagua ni kuamua wewe , na kusoma hapa ni wewe kuamua usome ama upite kwanza uwahi ...
Mwanamke Akiwa Anafanya Vitu Kwa Kujiamini Mbele za watu Ujue...
Habari za leo ndugu msomaji wa Mtazamo Wa Maisha , bila shaka unaendelea na maandalizi ya kumchagua rais wa nchi yako, na mbunge na diwani...
Unatumia njia gani kujihamasisha pale unapokwama kufikia malengo yako.
Nikusalimu ndugu msomaji wa Mtazamo Wa Maisha na makala zake, habari za leo, matumaini yangu unaendelea vyema kung'ang'ana kwa ki...
Unachofanya unakielewa au unafanya ilimradi uonekane umefanya?
Habari za leo mpenzi msomaji wa MTAZAMO WA MAISHA , ni matumaini yangu umeanza siku na mwezi huu vyema wa tisa ukiwa na mipango mingi ya k...
Usipoipa akili yako kazi ya kufanya yenyewe itakupa kazi ya kufanya.
Habari za leo mpenzi msomaji wa makala hii, matumaini yangu unaendelea vizuri kutimiza malengo yako uliyojiwekea mwaka huu 2015, kama bado h...
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)