Mtazamo wa maisha ni mtandao ambao unazungumzia vile vitu halisi kwenye
jamii/maisha yetu tunavyokutana navyo na kuona haviwezekani kwetu, hapa
vitawezekana.
Mtazamo wa maisha itatoa mbinu sahihi za kuweza kufanikiwa zaidi kwenye kazi na biashara yako pasipo kuzuiliwa na mazingira.
Mtazamo wa maisha itakupa mbinu sahihi za kuweza kuishi maisha ya
furaha ndani ya ndoa yako, na kufurahia ujana wako kwa wewe ambaye
hujaolewa/kuoa pasipo kuumizwa na mahusiano yeyote ya uchumba.
0 maoni:
Post a Comment